Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga (kulia) akipeana mkono na mgeni rasmi,Katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mh. William Nsanzugwanko mara baada ya uzinduzi wa masafa mapya ya Clouds 92.3 FM Shinyanga,uzinduzi huo umefanyika wikiendi hii wakati wa tamasha la fiesta one love 2009 likifanyika katika uwanja wa Kambarage .
No comments:
Post a Comment