.

.

.

.

Tuesday, October 06, 2009

FIESTA MJINI A-TAUN

Mkurugenzi wa Radio Clouds Fm na Prime Time Promotions Joseph kusaga akizungumza na wasanii kutoka nchini Uganda (Radio and Weasel) , mara baada ya kufanya vyema katika tamasha la fiesta usiku wa jumamosi usiku. Tamasha hilo litaendelea huko Mkoani Mwanza ambapo wasanii kibao watashoo Love tarehe 10 oktoba .

No comments:

Post a Comment