.

.

.

.

Monday, October 26, 2009

SERENGETI BREW. YATOA MSAADA BOMBO HOSPITALI

Meneja uhusiano wa kampuni ya Serengeti Breweriers Teddy Mapunda akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini Bw. Ibrahim Msengi Mashuka na Vyandarua kwa ajili ya Hospitali ya wodi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo.

No comments:

Post a Comment