MSIBA
Bwana Joseph na Bibi Juhayna Kusaga wanasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi wa Bi. Juhayna Kusaga, Mama Salma Hilary Ajmi, kilichotokea leo asubuhi nyumbani kwake Masaki jijini Dar.Mazishi yatafanyika kesho (Jumanne) kwenye makaburi ya KISUTU -UPANGA jijini Dar baada ya sala ya adhuhuri.Taarifa ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wa marehemuMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
No comments:
Post a Comment