.

.

.

.

Saturday, March 27, 2010

KITABU CHA SIR GEORGE KAHAMA CHAZINDULIWA


Joseph Kahama Akimkabidhi Mama Maria Nyerere kitabu cha historia ya maisha ya baba yake mzazi Sir George Kahama ambacho amekiandika yeye katika hafla ya uzinduzi iliofanyika Ikulu jijini Dsm, katikati anayeangalia ni Bi.Janet Kahama mama yake mzazi.

No comments:

Post a Comment