SHEIN MKOANI IRINGA
Kiongozi wa Kabila la Kihehe katika kijiji cha Mafinga Wilayani Mufindi Mzee SIKAUKA MWACHANGU, akimpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. ALI MOHAMED SHEIN baada ya kumvalisha Vazi la Utawala wa Kabila la Kihehe na kumkabidhi Utawala wa Kabila hilo katika Uwanja wa Mashujaa Mafinga Wilayani Mufindi kwa ajili ya kuhutubia Wananchi Mkutano wa Hadhara. Picha na Amour Nassor
No comments:
Post a Comment