Kama kawaida kesho ni Jumapili nyingine tena ile bendi inayopiga miziki ya kitanzania na Afrika ya mashariki na kati kwa ujumla " AFRIKA JAMBO BAND " itatumbuiza kuanzia saa moja usiku katika ukumbi wa CLUBAFRIQUE uliopo Canning Town E16 2QL
NYOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment