.

.

.

.

Thursday, April 08, 2010

DUA ..................................

Mjane wa Muasisi wa mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume pamoja na mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume wakishiriki dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyosomwa wakati wa kilele cha maandamano ya UVCCM kumuenzi muasisi huyo juzi mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment