.

.

.

.

Thursday, April 01, 2010

IMEKAAJE HII ???

Mkazi wa Kigamboni akiwa amepakia watoto wake katika baiskeli akirejea nyumbani jana. Nihatari kupakia watoto namna hii maana wanaweza ingiza miguu katika gurudumu na kuumia au hata kuanguka.

No comments:

Post a Comment