FAMILIA YA KALANJE YA MTAA WA KALENGA MAENEO YA UPANGA JIJINI DSM INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO PAUL KALANJE KILICHOTOKEA SIKU YA IJUMAA KUU .
MWILI WAKE UNATARAJIWA KUAGWA KESHO UPANGA KUANZIA SAA TANO ASUBUHI BAADAYE KWENYE MISA ITAYOFANYIKA ST.ALBANI NA BAADAYE KWENYE MAZISHI YATAKAYOFANYIKA MAKABURI YA KIANGLIKANA BUGURUNI
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
No comments:
Post a Comment