.

.

.

.

Sunday, June 06, 2010

MISS DAR CITY CENTRE ......

Miss Dar City Centre Salma Mwakalukwa akipungia mashabiki mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam kulia ni mshindi wa pili Bahati Chande na kushoto ni Neema Ally mshindi wa tatu.

3 comments:

  1. mmh ana lips kubwa sana kama za wema! sio mzuri.
    kina wema wameharibu sana hii fani kwa skendo zao mpk wazazi wanawafungia ndani watoto wao wa ukweli wasishiriki,mwishoe wanajitokeza wasio na viwango..tutaendelea kusindikiza mpk maadili yazingatiwe Miss Tz.
    kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. kwa kweli mmechemshaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. gud gal u got it.it was in ur dream

    ReplyDelete