.

.

.

.

Tuesday, June 08, 2010

MOOGS AJA NA MIXTAPE YA NGUVU


Msanii wa kizazi kipya anaeishi hapa UK anayeenda kwa jina la kisanii kama MOOGS au ukipenda (Jackson Mugisha)Yuko mbioni kudondosha mixtape yake sooon mwezi huu,itakuwa ni ya tofauti kidogo na zile za wengine wa hapo nyumbani kutokana na kubeba vionjo mbali mbali vinavyo tamba sana hapa UK.


Ameshirikiana na wasanii mbalimbali wa hapa na miongoni mwao ni producer mkali wa kitanzania anaejulikana kwa jina la YOUNG JOSH aliyehusika vilivyo katika utengenezaji wa soundtracks za movie ya £OVELY GAMBLE ambayo ilishazinduliwa Tanzania na hapa UK.

Nimeambatanisha picha kwa ajili ya reference yako. na unaweza kusikiliza baadhi ya nyimbo zake kwa kupitia mtandao huu http://www.myspace.com/moogs

No comments:

Post a Comment