.

.

.

.

Thursday, November 04, 2010

MSANII DIAMOND ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA HAPA UINGEREZA


Mkuu wa u utawala ubalozini Bi Carol Chipeta na Diamond.

Mh Balozi Kallaghe, Diamond na Kaimu Balozi Chabaka Uingereza,Pale msanii Diamond alipotembela ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza.

Frank, Balozi Kallaghe, Diamond, Kaimu Balozi Chabaka, Baraka na Nocha.

Show ya kwanza itafanyika jumamosi hii mjini MILTON KEYNES CLUB OPUS ikifuatiwa naTHE CLUB CROYDON 12/11.

NYOTE MNAKARIBISHWA,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment