.

.

.

.

Friday, September 23, 2011

PICHA YA LEO

Mbunge wa Tabora Mjini,Ismail Aden Rage akiwa na bastola kiunoni akielekea kupanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Igurubi kwenye mkutano wa CCM wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga jana.Picha na Ray Naluyaga

1 comment:

  1. Hicho ni kitu cha ajabu sana, kwanini amefanya hivi, sasa anazungumza nini na wananchi? anawaambia kunavita na siyo campeni ya uchaguzi? au nini, kwa sasa siwaelewi wana ccm wenzangu wanamaanisha nini, ila nasema hiyo siyo nzuri, kama hali ya usalama siyo nzuri kwanini "u-risk".

    ReplyDelete