
Tuna furaha kuwajulisha ndugu zetu wa mji wa Leicester UK pamoja na miji iliyo karibu kuwa Inshaallah SALA YA EID EL ADH-HA itasaliwa kwa utaratibu ufuatao:
SIKU: Jumapili 6-11-2011
PAHALA: Taylor Road Primary School, Taylor Road, Leicester, UK, LE1 2JP
WAKATI: Takbeer zitaanza Saa mbili kasorobo asubuhi (7.45 am)Sala itaanza Saa mbili na Robo asubuhi (8.15 am)
Madrasatun Nuur Leicester inawatakia Waislamu wote Sikukuu NjemaEID MUBAARAK
No comments:
Post a Comment