Mtu mzima Mwinyi akimwaga misitari ya maombi
I LOVE YOU BABY
Mwinyi akimvisha pete ya uchumba WEMA SEPETU
Mabusu motomoto
KWA HABARI EXCLUSIVE NA MAPICHA YA SHUGHULI YENYEWE INGIA BLOG YA DJ CHOKA HAPO CHINI AMBAYE PICHA HIZI NI KWA HISANI YAKE
Kwani wema huvishwa pete na kila mwanaume anaochumbiana nayo jameni aaah wema next time visheni pete chumbani si kwenye umati sababu imekuwa mtindo.
ReplyDeletemwinyi ndo nani tena
ReplyDeleteKwani hizo pete si zitajaa vidoleni, maana ni kila mwezi anaveshwa pete, mmh ngoja ninyamaze mieeee.
ReplyDelete