PICHA YA AJALI YA MELI ILIYO TUTOA MACHOZI WENGI WETU
Baadhi ya Maiti za watoto wadogo zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Ndugu zao.
Ndugu zangu tukubali na iahamike yakwamba utawala ukiwa hautendi haki ,dhuruma imetawala basi mwenyezi mungu utoa adhabu kama hizi na wanaokuwa wahanga niwale wasio na hatia .Enyi mafisadi wannchi hii jaribu kumrudia mungu angalia watoto hawa nisababu ya mali zqa wajane na mayatima mlizo chukua ,ombaomba wapo mtaani tunwapita afu tunajiita viongozi si wasiasa wala wadini ebu kemea achakukumbatia fedha.mshahara wadhambi ni mauti ebu tumrejee mola hayo majumba magari na fedha mnazo limbikiza zitoeni msadie mafukara jamani, gongo la mboto,mbagara, Haiti mmesikia sasa mungu aongee vipi hao kawachukua ni malaika wake ila dhuruma tumefanya sissi wazazi .MWANGA WA MILELE UWAPE EEBWANA/WA INAHLILAH WALAHAJUUN.

ReplyDelete