Bahati Chando Akiwa uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere International Airport Dar es Salaam kabla ya kukwea pipa akiwa njiani kuelekea Manila,Phillipenes kwe nye mashindano ya MISS EARTH BEAUTY QUEEN yatayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 24/11/12 akiiwakilisha TANZANIA
No comments:
Post a Comment