.
.
Sunday, November 04, 2012
MISS TANZANIA 2012 APATIKANA ANAITWA BRIGITTE ALFRED
Mshindi wa Taji la Redds Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (katikati) akipunga mkono kwa furaha katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili, Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo. Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni wakati, Eugene anatoka Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa huku Edda ni Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua 5 bora ya Redds Miss Tanzania 2012, kutoka kushoto ni Brigitte Alfred, Eugen Fabian, Happyness Daniel, Edda Sylvester na Magdalene Roy wakipozi kwa picha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment