JOCELYNE KIMARO ATWAA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012
Jocelyne Kimaro Mshiriki wa Tanzania sasa ni MISS EAST AFRICA 2012
Mtanzania alishika nafasi ya Kwanza, ya Pili Mganda na nafasi ya Tatu ilichukuliwa na Mburundi
Tano bora ya MISS EAST AFRICA
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment