Msanii Juma Kilowoko (sajuki)amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alikokuwa amelazwa.
Chanzo cha habari kinasema kuwa msanii huyo hadi umauti unamkuta alikuwa amegundulika kuwa na tatizo la Kansa ya ngozi na upungufu wa damu.
Marehemu anatalajiwa kuzikwa ijumaa hii kwenye makaburi ya Kisutu.Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi AMEEN
No comments:
Post a Comment