Neema Swai akiwa katika picha ya pamoja na rafiki yake wakati wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City
Warembo wakipata ukodaki mbele ya kamera yetu Wakati wa Sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City
Wadau wakiserebuka Wakati wa Sherehe ya Kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 katika shehere ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City
. Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment