Waziri wa Nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini-CHADEMA Godbless Lema.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai-Chadema Freeman Mbowe(kulia) Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema na Vicent Nyerere Mbunge Musoma Mjini-CHADEMA
Waheshimiwa Wabunge Kutoka Kulia ni Mwingulu Nchemba (Singida-CCM)-kulia, Joseph Selasini (Rombo-CHADEMA),a Mosses Machali (NCCR-Mageuzi- Kigoma mjini) katika viwanja vya bunge.
No comments:
Post a Comment