HAFLA YA KUITATHIMINI LIGI KUU YA VODACOM NDANI YA SOUTHERN SUN HOTEL
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Tanzania Bw.Juma Pinto akizungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Katibu wa TFF Angetile Osiah(kushoto)akimsikiliza jambo Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa, wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahariri wa magazeti ya michezo wakimsikiliza Katibu wa TFF Angetile Osiah,wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa habari wa Clouds radio Bw.Shafii Dauda (kushoto)akibadilishana mawazo na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania,Bw.Ibrahim Kaude, wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahariri wa michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakibadilishana mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment