Mwili wa Maimuna ukipelekwa kwenye gari kwa ajili ya maziko mara baada ya swala msikitini. |
|
Mama Mzazi wa marehmu(katikati) akiwa ameshikiliwa na marafiki zake alipoenda kuangalia kaburi la mwanae baada ya maziko. |
|
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika kutazama kaburi la marehemu Maimuna Fatma Karumba |
|
Mama mkubwa wa marehemu (mwenye mtandio wa orange) Esther akiweka maua kaburini |
|
Ilikuwa na huzuni na majonzi |
|
Ndugu jamaa na marafiki kaburini
|
|
Hans, Jesse, Hilal na Meru makaburini mara baada ya maziko |
|
Mzee Matata |
R.I.P Maimuna Fatma Karumba.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
No comments:
Post a Comment