Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika IJUMAA TAREHE 26 July 2013. Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote iwekwe kwenye account ya
MR A ALFAGHEE
Sort 09-01-27
Account Number 11832254
Santander.
Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
Msiba uko nyumbani kwa mama wa marehemu
134 BLEAM CLOSE
TOTTENHAM HALE
N17 9DQ
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA
No comments:
Post a Comment