.
.
Tuesday, January 06, 2015
JOH MAKINI NA MENINAH !!!
Kuna Tetesi za Mtaani kuwa Mwanamuzi
Joh Makini
ameangukia kwenye dimbwi la penzi na mwanamuziki mwenzake mrembo
Meninah...
Inasemekana mapenzi yao yalianza baada ya kufanya Video ya pamoja ambayo imesababisha ukaribu zaidi kwa wawili hao
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment