.

.

.

.

Thursday, January 15, 2015

Tamasha La TigO Kiboko Yao Tarehe 24 Mwezi Huu Leaders Club Jijini Dar es Salaam


Mwimbaji wa miondoko ya taarabu nchini Isha MAshauzi
Katika mahojiano binafsi na eNewz, msanii wa muziki Christian Bella, Isha Mashauzi kati ya wengine kibao, wamewataka mashabiki wao kukaa tayari kwa kushuhudia nguvu na upya wa burudani, katika tamasha hilo lenye hadhi ya kimataifa la tiGO Kiboko Yao ikiwa ni onesho lao kubwa kabisa la kuanzia mwaka.

No comments:

Post a Comment