Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas (kulia ) akimtazama mmoja kati ya majeruhi 22 waliolazwa katika Hospitali ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambao walipata ajali mbaya baada ya basi la majinja lenye namba za usajili T348 CDE kugongana na lori na kufunikwa na kontena lake jana eneo la Changalawe nje kidogo ya mji wa Mafinga ,katika ajali hiyo watu 42 walifariki dunia |
basi likiwa limefunikwa na kontena la Lori
|
No comments:
Post a Comment