Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mmiliki wa Azam TV ambayo ni kundi la makampuni ya SS Bakhresa, Said Salim Bakhresa, (watatu kushoto waliokaa), waziri wa habari, utamaduni, vijana na michezo, Dkt. Fenella Mukangara, (katikati aliyejifunga kitambaa), naibu mkurugenzi wa Azam TV, Tido Muhando, (wakwanza kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa TV hiyo mara baada ya Rais kuizindua rasmi Ijumaa Machi 6, 2015. TV hiyo yenye studio zake, barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam, ni maarufu kwa vipindi vya michezo hususan soka |
No comments:
Post a Comment