.

.

.

.

Thursday, September 18, 2008

JK aendelea na ziara yake Manyara



Rais Jakaya Kikwete baada ya kukatiza ziara yake wiki iliyopita katika mkoa wa Manyara kutokana na kuhudhuria sherehe ya makabidhiano ya madaraka nchini Zimbabawe, Leo ameanza tena ziara yake katika mkoa huo na hapo pichani Rais JK akitoka ktk nyumba ya kabila la wabarbaig na chini akiwa na kofia ya shanga inayoheshimika na kabila hilo huko manyara leo.

No comments:

Post a Comment