.

.

.

.

Wednesday, September 17, 2008

YUKO FITI


Khamis Mwinjuma AKA mwana FA yuko fit kinoma baada ya kuzushiwa kifo na kuzagaa kila kona ya bongo.Hii ilithibitishwa na yeye mwenyewe leo, na mwezi ujao anatalajiwa kutinga kwa mama UK kwa shoo kadhaa za kufa mtu. Zidi kuangalia blogu hii kwa nyuzi zaidi ya shoo hizo.

No comments:

Post a Comment