Mcheza sinema maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba yuko nchini Uingereza kwa shughuli za kisanii. Kanumba ambaye majuma machache yaliyopita alikuwa Marekani kwa shughuli kama hizo amepanda chati si nyumbani tu hata NOLLYWOOD wanamukubali .Kijana huyu mtanashati ana sinema mpya aliyooigiza inaitwa "THE STOLEN WILL".
No comments:
Post a Comment