Hayawi hayawi Yamekuwa hatimaye Bifu iliyokuwepo kati ya ZANU-PF na MDC imeisha baada ya hatua kubwa kupigwa pale Rais Robert Mugabe na Morgan Tsvangirai walipotia saini mkataba wa kugawana madaraka ya uongozi nchini Zimbabwe ,saini zilitiwa mbele ya mwenyekiti wa umoja wa Afrika Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete pamoja na Thabo Mbeki Raisi wa Afrika Kusini. Mfalme Mswati III alihudhulia pia sherehe hiyo
No comments:
Post a Comment