.

.

.

.

Thursday, October 02, 2008

CHODO

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ramadhan 'Chodo' Kikwete (katikati) akiwa na watoto yatima waliofika Ikulu Dar es Salaam kwaajili ya kufuturu. Rais kupitia kwa Mnikulu alifuturisha watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya Dar es Salaam wiki iliyopita.


IDD MUBARAK: Watoto Ibrahim Dulla (10) na Omary Hajj (4) kushoto, wakitoka katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa juzi walikoshiriki Sala ya Idd ambapo waumini wa madhehebu ya Answar Sunna walisali pamoja baada ya kukamilisha mfugo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan juzi.

No comments:

Post a Comment