Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalum kutoka kwa Rais Denis Sassou Ngweso wa Congo Brazaville uliwasilishwa kwake na waziri wa misitu wa Congo Brazville Henri Djombo(kushoto) ikulu jijinji Dar es Salaam Juzi.Katikati ni mkalimani wa waziri huyo wa Congo.
No comments:
Post a Comment