.

.

.

.

Thursday, October 09, 2008

MISS VODA TZ 2008


Miss Vodacom Tanzania 2008 Nasreem Mohamed, ametoa misaada ya chakula kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo cha Nira Children and Youth Orphans Foundation (NICHIYOFO) kilichopo Mbagala Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam.Msaada huo ni pamoja na mchele, mafuta ya kupikia, unga wa sembe, ngano, maharage, sabuni pamoja na sukari ambavyo gharama yake ni zaidi ya shilingi laki tano.

No comments:

Post a Comment