Hatimaye ndoto iliyotabiriwa karibia nusu karne iliopita na mwasisi na mpigania haki za watu weusi marekani Dr. Martin Luther King zimetimia kwa Kijana mwanasheria ambaye baba yake ni mwafrika toka Kenya kushinda kwa kishindo uchaguzi wa Uraisi katika Taifa kubwa na Tajiri Duniani,na kuwa mtu wa kwanza mweusi kushika nafasi ya juu kabisa katika uongozi duniani HUYU SI MWINGINE BALI NI BARACK HUSSEIN OBAMA
No comments:
Post a Comment