.

.

.

.

Saturday, November 08, 2008

KAT DELUNA AVINJARI DAR


Kat deluna mwanamuziki toka Marekani ambaye usiku huu atakamua katika viwanja vya Lidaz club pale kinondoni jijini DSM akiwa amepozi na baadhi ya mashabiki baada ya kutoka katika studio za Cloudsfm mchana huu.

No comments:

Post a Comment