.

.

.

.

Thursday, November 27, 2008

MAONYESHO YA WORLD TRADE MARKET LONDON UKEREWE

Waziri wa Maliasili Shamsa Mwangunga akikate utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matangazo ya utalii katika Tax 100 jijini London
Katibu mkuu Wizara ya maliasili na Utalii mama Blandina Nyoni akizungumza na mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw. Peter Mwenguo katikatika wakati wa maonyesho ya Utalii nchini Uingereza kulia ni Bw. Kashangwa wa Tanzania Trade Centre nchini humo

Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza


No comments:

Post a Comment