.

.

.

.

Tuesday, November 25, 2008

MISA YA KISWAHILI READING

(YESU NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE) Jumapili 30 November at 14.30

Tunafurahi kuwakaribisha kwenye Ibada ya Kiswahili, itakayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, kutoka Ibada ya Kiswahili London akishirikiana na Ev. Felix Kallaghe na Moses Shonga.
Njoo tumwabudu Mungu katika Roho na Kweli, mapambio na nyimbo mbali mbali. Wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa.
Baada ya ibada tutashirikiana kwa vinywaji na vitafunio.Watu wa madhehebu yote mnakaribishwa.
Hexham Community Centre1a Bamburg Close, WhitleyReading, RG2 7UD
www.stanneslutheranchurch.org 020 7606 4986/07983087998
For information:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org

No comments:

Post a Comment