Mwakilishi wa Tanzania katika Mr Universe David Nyombo (pichani) akionyesha jinsi anavyoweza kufanya vitu vyake. Mwamba huyu ambaye ni mshindi wa Afrika mwaka 2008 katika kategori ya kilo 70 kwa mchezo wa Kutunisha misuli, sasa anakwenda Bahrain, kuiwakilisha Tanzania. Mashindano hayo ni ya 62 ya watunisha misuli ya ridhaa ya Dunia yanayofanyika kuanzia Novemba Mosi mpaka 7.
Mwamba huyu ambaye alizaliwa Mei 13, 1975,jijini Dar es Salaam ni mtunisha misuli wa kwanza Tanzania kushiriki katika mashindano ya Mr Universe Afrika kutoka mwaka 2002.
Mwamba huyu ambaye alizaliwa Mei 13, 1975,jijini Dar es Salaam ni mtunisha misuli wa kwanza Tanzania kushiriki katika mashindano ya Mr Universe Afrika kutoka mwaka 2002.
Salama Mzee?
ReplyDeleteHongera kwa blog nzuri inayotujulisha matukio mbalimbali ya hapa UK (hasa kwa sie tulio huku mafichoni Scotland).
Nilikuwa na ombi la ku-exchange links.Nimeshaiweka link ya blog yako kwenye my blog list.
Thanks in advance.
Evarist,Aberdeen
nitumie URL yako nami nitaiweka
ReplyDeleteRSS Feed yangu ni http://feeds.feedburner.com/blogspot/Fkqz
ReplyDeleteThanks in advance