
Msanii kutoka Uganda,
Sanyu Cinderella 'Cindy' akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake katika pambano la Ma DJ na wasanii wa Afrika Mashariki lililojulikana kwa jina la Tigo Extreme Party kwenye ufukwe wa Bahari ya Cine Club jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
No comments:
Post a Comment