

Mariah Carrey na Mumewe Nick Cannon wakiwa wamevalia kama wana Zimamoto.

Cassey akiwa na mpenzi wake P Diddy ambaye amevalia vazi la Kiburushi.wapenzi hawa ambao wamekuwa wakificha mapenzi yao hadharani kwa muda mrefu hatimaye waliamua kuwa beneti mbele ya mapaparazi na kadamnasi ya watu .
No comments:
Post a Comment