.

.

.

.

Monday, December 01, 2008

LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Leo tarehe mosi Desemba ni siku iliyotengwa na umoja wa mataifa kama siku ya ukimwi duniani.Watu milioni 33 kote duniani wanaishi na virusi vya HIV, na takriban watu zaidi ya milioni 2.7 wanaathirika kila mwaka.
Licha ya mdororo wa uchumi duniani,Mark Dybul,mratibu wa mradi wa marekani katika masuala ya ukimwi duniani,alisema kwamba ana matumaini kuwa marekani itatimiza ahadi zake za kutoa msaada wa kifedha.

No comments:

Post a Comment