.

.

.

.

Tuesday, January 13, 2009

ZAMU YA RICHMOND YAWADIA

Mtuhumiwa katika kesi ya Richmond ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Richmond Tanzania, Naeem Adam Gera (kulia) akisindikizwa na askari wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuingia katika mahabusu ya mahakama hiyo Dar es Salaam, jana.
Mtuhumiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo kujibu mashitaka yanayomkabili ambayo ni kuidanganya Serikali kwa kuwasilisha nyaraka za uongo kuwa kampuni yake inauwezo wa kuzalisha umeme.

No comments:

Post a Comment