.

.

.

.

Monday, March 30, 2009

VIONGOZI WA SADC NCHINI SWAZILAND

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa SADC kwenye jumba la kifalme la Lozitha huko Swaziland, leo. Wengine toka shoto baada ya JK ni Rais Robert Mugabe of Zimbabwe, Mfalme Mswati III wa Swaziland, Rais Khaglema Montlante wa Afrika ya Kusini, Rais Joseph Kabila wa Kongo DRC), na Rais Armando Guebuza wa Msumbiji. Wengine yuma toka shoto Waziri Mkuu Phakalitha Mosisili wa Lesotho, Rais Bingu wa Mutharikawa Malawi na Rais Rupia Banda wa Zambia.

No comments:

Post a Comment