MKUU WA UDHAMINI NA MAWASILIANO WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA,GEORGE RWEMBIZA AKIBADILISHA MKATABA WA MAKUBALIANO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA LINO( HASHIM LUNDENGA),AMBAPO VODACOM ITAKUWA MDHAMINI MKUU WA SHINDANO LA KUMSAKA VODACOM MISS TANZANIA 2009.
KATIKATI NI VODACOM MISS TANZANIA 2008 NASREEM KARIM.
No comments:
Post a Comment