.

.

.

.

Thursday, March 19, 2009

RAIS AREJEA TOKA UINGEREZA

Rais Jakaya Kikwete amerejea TZ leo mchana toka katika kikao cha maandalizi ya Mkutano wa G 20 unaotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Nne hapa Uingereza.
Hapa baada ya kuwasili akizungumza na mkuu wa majeshi Mh.Mwamunyange huku akiangaliwa toka shoto na Mkuu wa Usalama wa Taifa Mh.Rashid Othman na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mh. Said Mwema pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Mh. Abbas Kandoro.

1 comment:

  1. men, this is too much. hawa maafisa wa serikali hawana kazi nyingine?

    hivi ni priority kwao kumuaga rais kila anaposafiri na kumpokea anaporudi?

    badala ya kuwatumikia wananchi eti wanaenda airport kumpokea rais, wakiambiwa nchi inaendeshwa kienyeji wanakasirika.

    ukweli ni kwamba, huyo kikwete na wapambe wake wote hakuna mwenye kuelewa kuwa wanafanya upuuzi.

    ReplyDelete