.

.

.

.

Thursday, May 21, 2009

ALIYEJIBADILISHA JINSIA AAGA DUNIA

Habari zilizotufikia zinasema kuwa yule mwanaume aliyejibadilisha jinsia Abdalla Alou a.k.a (Aunt Victoria) amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba Aunt Vicky amefariki katika Hospitali ya Muhimbili alikohamishiwa akitokea Hospitali ya Mwananyamala.
Pia habari zinazidi kupasha kuwa kabla ya kurejea nchini Aunt Vicky aliuza nyumba yake ya urithi huko Kawe na kusafiri nje ya nchi (Thailand) ambako alikwenda kufanyiwa upasuaji kubadilishwa jinsia na kuwa na jinsia ya kike.

No comments:

Post a Comment